Article Content
 1. Jinsi ya kupakua programu ya Betway kwenye Android?
 2. Jinsi ya kusanikisha programu ya Betway kwenye Android?
 3. Jinsi ya kupakua programu ya Betway kwenye iOS?
 4. Jinsi ya kusanikisha programu ya Betway kwenye iPhone?
 5. Nyongeza ya programu ya rununu ya Betway
 6. Toleo la tovuti ya rununu
 7. Kubeti simu kwenye Michezo
 8. Kasino ya rununu ya Betway
 9. Vipengele vya rununu
 10. Bonasi za rununu
 11. Mahitaji ya Mfumo
 12. Njia za malipo
 13. Kuhusu Betway
 14. Maswali Yanayoulizwa Sana
 15. Uamuzi na Ukadiriaji wa Rununu ya Betway

Jinsi ya Kupakua Programu ya Simu ya Betway kwa wanaoutumia Android

 • Betway simu ya rununu kwa Android
 • Viwanja vya rununu vya Betway vya Android
 • Betway simu ya moja kwa moja betting kwa Android

Programu ya simu ya Android ni nyepesi sana na rahisi. Mpangilio wake ni rahisi sana kuelewa na vile vile kuabiri sehemu tofauti. Unapata nafasi murwa zaidi ya kupekua pekua tovuti ya Betway bila kufungua akaunti kwanza. Hata hivyo, kuna kasoro kadha wa kadha za kimuundo kwa vifaa vingine vya Android na hili linatokana na masuala ya upatanifu (Sasa kuna orodha ya vifaa vinavyopatana na programu rununu hii).

Baadhi ya programu za simu za kucheza kamari zinakuhitaji utoke kwenye kivinjari utumiacho ili kusajili akaunti yako. Kinyume na hilo, Betway inakuwezesha kuingia kweye akaunti yako ukitumia programu ya rununu bila kwende kwenye tovuti rasmi.

Zoezi la usajili ni rahisi mno kwani unaweza kutoa maelezo yako ya kibinafsi zaidi wakati wowote ule.

Kwa upande wa michezo ya Betway, programu hii inakupa nafasi ya kuutazama mchezo wa spoti uupendao. Mifano ni kama kadanda, mbio za farasi, tenisi, kriketi, gofu, spoti za kimtandao, mpira wa makapu na mingineyo. Programu hii pia inakuwezesha kuangalia historia yako ya michezo uliyoshriki na pia odi. Vile vile, unaweza ukaona michezo inayoendelea kwa wakati huo katika ukurasa wa kwanza wa tovuti.


Je, Nafaa Kusakinisha Programu ya Rununu ya Betway Vipi?

Kwa wakati huu Google Play hairuhusu programu za kamari ambazo zinahusisha matumizi ya pesa halisi. Hivyo, hutafanikiwa kwa vyovyote vile kutafuta programu hii muhimu kwenye hifadhi hilo la programu. Kwa sababu Betway inaelewa hili bayana, inakupa faili ya programu yake ya simu katika tovuti yake kuu. Hivyo, unaweza ukapakua faili hii na utapata nafasi ya kuisakinisha programu kwenye rununu yako.

 1. Hatua 1: Tembelea tovuti ya Betway na kisha upakue faili ya programu hii. Kama umefungua tovuti ukitumia rununu yako, bonyeza ‘Pakua Sasa’. Hata hivyo, kama unafungua tovuti kwa tarakilishi, basi pakua faili hii na kisha uihamishe hadi kwenye rununu yako ambapo utaisakinisha.
 2. Hatua 2: Kabla usakinishe programu kwenye simu yako, hakikisha ya kwamba simu hio inakubalisha programu kutoka kwenye asili isiyo tambulika. Utakapokubalisha rununu yako kufanya hivi, basi utaweza kusakinisha programu hii bila tatizo lolote. Ni vizuri ujue kuwa programu hii ni safi na haina virusi vyovyoye ambavyo huvamia na kuharibu kompyuta au rununu yako.
 3. Hatua 3: Fungua faili ya programu kwenye rununu yako. Jambo la kwanza utakalopatana nalo ni swali. Je ungetaka kuweka programu zisizo julikana asili yake kwenye rununu yako? Vile vile, unatakiwa uiruhusu programu hii kupekua sehemu kadha wa kadha za simu yako. Pinda tu utakapomaliza haya, bonyeza ‘Sakinisha’ na kisha usubiri programu ipakue.
 4. Hatua 4: Baada ya kusakinisha programu ya Betway, unapewa nafasi ya kurudi kwenye ukurasa wa kwanza wa tovuti ama kufungua programu hiyo. Kwa sasa unaweza kufungua programu yako na ufurahie kucheza kutoka kwa rununu yako.

Pakua Programu ya Rununu ya Betway kwa Android


Je, Ninaweza Vipi Kupakua Programu ya Rununu ya Betway kwa wanaotumia iOS?

 • Michezo ya kasino ya Betway ya rununu ya iOS
 • Betway ya simu ya moja kwa moja ya runinga ya iOS
 • Kuingia kwa Betway kwa rununu kwa iOS

Wachezaji wanaomiliki rununu za kampuni ya Apple hawajatengwa kwa vyovyote vile kwani michezo ya spoti inapatikana kwa vifaa vya iOS pia. Kama ilivyo kwa wachezaji wa Android, programu ya rununu za iOS ni rahisi kutumia haswa kwa sababu ya kiolesura chake cha kuvutia. Kupitia hii programu, unaweza ukatazama michezo unayoipenda na uwekeze dau zako kwa urahisi mkubwa.

Programu hii ya iOS inawafaa zaidi wale wanaopenda kushiriki michezo ya kamari popote pale. Kwa kimuundo, programu hii ni kama ile tu ya Android. Hivyo, mambo ambayo utayapata kweneye iOS ni sawa na yale ya Android.


Jinsi ya Kusakinisha Programu ya Rununu ya Betway kwenye simu aina ya Iphone

Tofauti na udhibiti mkali uliowekwa na Google Play Store kwa programu za kamari, iTunes App Store inalegeza kamba na kuziruhusu kampuni za kamari katika hifadhi lao la programu. Licha ya ulegevu huu, utapata kwamba kuna masharti ya kiumri yaliyowekwa na hivyo yeyote aliye chini ya miaka 18 hawezi akapakua programu za kamari. Lakini kama umetimiza umri wa kushiriki kamari na michezo hii imehalalishwa katika taifa lako, basi unaweza ukapakua programu ya rununu ya Betway.

Fuata hatua zifuatazo ili kupata programu hii ya simu ya Betway kwenye simu yako ya iOS.

 1. Hatua 1: Fungua hifadhi la programu la App Store kwenye simu yako.
 2. Hatua 2: Andika ‘Betway’ katika kidunde cha kutafuta na kisha upakue toleo rasmi la programu ya Betway.
 3. Hatua 3: Endelea kwa kubonyeza ‘Pata’ programu. Baada ya kupakua na kusakinisha, fungua programu yako na kisha uabiri hadi kwenye ukurasa wa kwanza na uanze kucheza kushiriki michezo kwenye simu yako.

Pakua Programu ya Rununu ya Betway kwa iOS


Uboreshaji wa Programu ya Betway

Kufikia sasa, tumezungumzia programu za rununu za Android na zile zinazotumia mfumo wa operesheni wa iOS. Kwa sasa, tungetake kujua mambo kadha kuhusiana na uboreshaji wa programu hizi.

Waama, programu hizi zilipogunduliwa, hazikuwa na uzuri na uvutiaji kama zilivyo kwa wakati huu. Kwa muda, wachezaji wamekuwa wakionyesha kutoridhika kwao na huduma za programu hizi na kwa kampuni nzima ya Betway kwa jumla. Ili kuzuia kuendelea kwa matukio mabaya miongoni mwa wateja, Betway imejikakamua kwa udi na uvumba kurekebisha na kuboresha masuala kadha ya programu yao ya rununu. Kwa sasa kila kitu ki sawa kwa sababu kuna usawa wa huduma kwa wachezaji wanaotumia programu hii na wale ambao hutumia kompyuta. Kwa mfano, wachezaji hawa wote wanapewa nafasi sawia za bakshishi na soko pana la kuwekeza dau. Kufuatia marekebisho haya, programu ya rununu ya Betway inakupa nafasi ya kupata chochote kile unachotamani.


Tovuti ya Betway kama Ilivyo Kwenye Rununu

Kuingia kwa rununu kwa Betway kwa iPhone

Hata ingawa kuna programu ya simu kwa watumizi wa Android na iOS, unaweza pia kuwekeza dau katika simu yako kwa kuingia kwenye tovuti ya Betway kwa matumizi ya kivinjari moja kwa moja. Hili ni chaguo murwa mno kwa wale wanapendelea kucheza kwa kiwamba kidogo na vile vile kuhifadhi nafasi katika simu.

Unapoabiri na kucheza kwenye tovuti ya Betway moja kwa moja kupitia kwa kivinjari, utapata nafasi sawa na yeyote yule anatumia tarakilishi. Tovuti hii imetengenezwa hivi kwamba inakuruhusu kutumia kikwamba cha ukubwa wowote ule. Hivyo, hutapoteza muda ukijaribu kukuza kikwamba nje ili upate nafasi ya kuona vizuri.

Kama ilivyo kwenye programu ya rununu, unaweza ukatekeleza mambo mengi mno kwenye tovuti hii ya moja kwa moja ya rununu. Hata hivyo, tofauti kubwa i katika kasi ya utekelezaji wa mambo. Katika ulinganisho, programu ya rununu ina kasi kuliko tovuti ya simu ya moja kwa moja itumiayo kivinjari. Hili halimaanishi ya kwamba hutafurahia huduma ya tovuti ya moja kwa moja, lakini ni vizuri ufahamu kwamba programu ya rununu inakupa wakati mwepesi zaidi.


Uchezaji Kamari kupitia kwa Tovuti ya Simu

Programu ya michezo ya rununu ya Betway

Ni hakika kwamba utakuwa na wakati bora mno utakapokuwa ukishiriki Kamari kupitia kwa tovuti ya rununu ya Betway. Pindi tu unapoingia kwenye tovuti, abiri hadi kwenye spoti na utapata nafasi ya kushiriki kwenye baadhi ya michezo kama vile kadanda, tenisi, mchezo wa magongo kwenye theluji, mpira wa wavu, darts, badminton na mingineyo. Hapa, utapata nafasi ya kuwekeza dau katika zaidi ya soko 30,000. Zadi ya soko hizi murwa, una nafasi ya kuchagua odi kati ya Akisami, odi ya Kimarekani na odi za Nukta.


Kasino ya Betway kwenye Rununu Yako

Programu ya kasino ya Betway ya rununu

Unapoabiri sehemu ya kasino ya Betway, utapata nafasi ya kushiriki michezo tofauti. Mifano ni kama slots, roulette, blackjack, vegas, michezo ya kasino ya moja kwa moja na mingineyo mingi. Baadhi ya michezo ya slots ambayo utapata katika kasino ya Betway ni kama Starburst, Cleopatra, DaVinci Diamonds, Gonzo’s Quest, Cleopatra Plus, Final Furlong, Immortal Romance, Game of Thrones, Lost Vegas, Mega Moolah, Dead or Alive, Reel Rush, Twin Spin, Book of Oz, Gladiator, Irish Eyes na michezo mingine mingi.

Tunapendekeza ujaribu pia kucheza michezo ya kasino ya moja kwa moja ili upate nafasi ya kuchagua zaidi ya michezo 450 iliyo kwenye sehemu hii maalum. Ukishiriki, unaweza kupata nafasi ya kujikwachulia zawadi kem kem kama vile uzungushaji bila malipo, jakpoti, bakshishi na nyinginezo. Una uhuru wa kujaribu sehemu hii.


Vipengele Maalum katika Programu ya Rununu na Tovuti ya Rununu

Ili kuboresha wakati wako katika Betway, kuna baadhi ya vipengele muhimu ambavyo utapata utakapokuwa ukishiriki michezo yako hapa. Navyo ni kama hivi:

 • Utazamaji wa Michezo ya moja kwa moja inapoendelea – Je ungetaka kujitazamia timu unayoipenda ikichuana moja kwa moja? Michezo ya Betway inakupa nafasi hii ya tutazama jinsi wachezaji unaowapenda wanavyong’ang’ana katika uwanja huku umeketi pale nyumbani. Nafasi hii inatolewa kwa wachezaji wa UK, Sweden na Ireland. Mwanzoni, ni lazima akaunti yako ithibitishwe ili kukupa hii fursa.
 • Utabiri wa 4 Watakaofunga – Kupitia kwa utabiri huu, unaweza kujishindia kama utaweza kutabiri atakayekuwa wa kwanza kufunga goli katika Premier League, Ligi ya Kwanza na Ligi ya Pili, na pia Championship kila Jumamosi saa 3:00 pm (Saa ya UK) Mchuano huu ni wa bure kwa wachezaji wote wa Betway na kwa sasa, unapatikana kwa wachezaji wa UK na Ireland pekee.
 • Klabu ya Free Bet – Unapowekeza dau michezo tofauti tofauti, unapata nafasi ya kujishindia £10 kila juma. Jambo la ajabu ni kwamba unaweza kuingia kwenye programu hii mara moja tu na utaishi pale milele. Michezo yote inafuzu katika klabu hii isipokuwa ile ya spoti za mtandaoni almaarufu esports. Katika awamu ya kwanza, utapata £5 siku ya Jumamosi na awamu ya pili ya ushindi wako siku ya Jumatatu.

Bakshishi ya wanaoncheza kwenye Tovuti ya Simu

Hata ingawa kampuni ya Betway inatoa bakshishi murwa kwa wachezaji wake, bado haijabuni bakshishi maalum kwa wale wanaotumia tovuti ya rununu kushiriki michezo. Licha ya hilo, wateja wanaocheza kwenye rununu wana nafasi sawia na wale wa kompyuta kwa bakshishi zilizopo wenye Betway.

Pata Bakshishi Yako


Mahitaji Maalum ya Mfumo wa Simu na Upatanifu

Kwa simu za rununu zinazotumia mfumo wa Android:

Ni lazima simu yako iwe ya Android toleo la 2.0 na zile nyingine za hivi karibuni ili kusapoti Betway.

 • Programu ya rununu ya Betway kwa Android inaweza ikafanya kazi katika simu za Galaxy S Series, Galaxy J3 and J5, Galaxy A3, na Galaxy Note kutoka toleo la 6.
 • Katika simu za Sony, programu ya Betway inaweza ikafanya kazi katika Xperia E5, Xperia XZ, Xperia X Compact, Xperia XA, na Xperia X.
 • Vile vile, programu hii inasapotiwa na simu aina ya Nexus 5X, G5 SE, na G Flex 2 iliyotengenezwa na LG.
 • Programu ya Betway pia inafanya kazi vizuri katika Huawei toleo la P9, P9 lite, P9 Plus, Y3, P8 Lite, na P8.
 • Baadhi ya simu nyingine amabazo husapoti Betway ni kama Vodafone Smart platinum 7, Pixel Phone iliyotengenezwa na Google, BlackBerry PRIV, ZTE Axon 7 Mini, DTEK 50, na ZTE Blade V7 Lite.
 • Mradi tu simu yako ina nafasi nzuri ya kusakinisha apu ya Betway na inafanya kazi kwa toleo la kisasa la Android, basi usiwe na wasi wasi ila tu ujiandae kufurahia kucheza kwenye rununu yako.

Kwa simu za rununu zinazotumia mfumo wa iOS:

Kama simu yako ya mkono inafanya kazi chini ya mfumo wa iOS toleo la 8.1 kwenda mbele, basi wewe una bahati kwani simu hii itasapoti apu ya Bwetway bila matatizo. Programu ya Betway inapatikana kwa simu ya iPhone 3 na toleo nyingine za simu hii zinazochipuka hivi karibuni. Vile vile, simu za iPod na ipod Touch ni patanifu na apu hii.

Apu ya Betway Sports inahitaji nafasi ya takriba 107 MB katika simu ya Android na iOS vile vile. Hivyo, ni vizuri uhakikishe una nafasi hiyo kwenye rununu yako kwanza.


Njia za Malipo kwa Njia ya Rununu

Ifikapo ni suala la malipo na pesa, kampuni ya Betway imefanya juu chini kuhakikisha ya kwamba imetoa kanuni za kutosha kwa niaba ya usalama. Hivyo, unaweza ukaweka na kubihi fedha kwa njia salama na ya haraka.

Tofauti moja kuu kati ya tovuti ya Betway na ile tovuti ya rununu ni njia za malipo zinazotolewa na kampuni. Utapata kwamba baadhi ya ya njia za malipo zinazopatikana katika tovuti ya kompyuta hazipatikani kwenye tovuti ya rununu.

Payment MethodDeposit MinimumDeposit MaximumTime for Deposit
Airtel LogoAirtelKSH 10KSH 70 000Immediate
M-Pesa LogoM-PesaKSH 10KSH 70 000Immediate
Visa LogoVisaKSH 10KSH 70 000Immediate
MasterCard LogoMasterCardKSH 10KSH 70 000Immediate
Payment MethodWithdrawal MinimumWithdrawal MaximumTime for Withdrawal
Airtel LogoAirtelKSH 80KSH 70 00/per dayup to 24 hours
M-Pesa LogoM-PesaKSH 80KSH 70 00/per dayup to 24 hours
Visa LogoVisaKSH 80KSH 70 00/per dayup to 24 hours
MasterCard LogoMasterCardKSH 80KSH 70 00/per dayup to 24 hours

Maelezo ya Kampuni

Michezo ya dau, kamari na beti za spoti ni sekta ambazo zimekua na kunawiri kwa kasi ya ajabu. Watu wengi zaidi wanazidi kushiriki michezo hii huku kampuni zaidi za michezo hii zikiendelea kuanzishwa kila uchao.

Kufuatia unawiri huu, sasa wanaopenda michezo hii hawatasumbuka tena katika ununuzi wa tiketi za kucheza kutoka kwa kampuni zisizohalalishwa. Sasa wataweza kujipatia tiketi hizi kwa urahisi wakiwa nyumbani kwao. Nyanja hizi za michezo zimebadilika zaidi kufuatia kubuniwa kwa rununu na programu maalum. Kwa sasa kila kampuni inawania kujinawirisha katika matumizi ya rununu katika michezo. Beway haijaachwa nyuma katika hili.

Kampuni hii ya Betway ilianzishwa mwaka 2006. Betway ni mojawapo ya kampuni mpya zaidi katika michezo na bado wamo katika harakati za kujenga jina. Hata hivyo, Betway imeweza kunawiri vizuri katika upande wa burudani na hamasisho. Kampuni hii inadhibitiwa na leseni iliyotolewa na Tume ya Udhibiti wa Michezo ya Kamari ya UK. Hivi karibuni, Betway itapanua operesheni zake katika nchi ya Ureno.

Kampuni ya Betway ina sekta murwa sana ya msingi data na idara mufti ya msaada kwa wateja inayopatikana kila wakati katika lugha 17 tofauti. Mambo haya yameiwezesha kupata ufanisi na kuwavutia wachezaji takriban milioni 1.5. Betway ina sehemu tofauti za michezo kama vile kasino, bingo, poka, michezo ya kasino na vile vile spoti. Kampuni hii inanuia kuwapa wateja wake burudani bora zaidi. Waama, hili litatimia kufuatia matumizi ya rununu katika uchezaji. Kupitia rununu hizi, Betway imejenga apu kwa wachezaji wa Android na iOS na vile vile kuna tovuti maalum ya rununu.


Maswali Yaliyoulizwa Mara Nyingi

Je, nitatumia apu ya Betway vipi?

Fungua programu hii ya Betway kwenye rununu yako na kisha uyajaze maelezo yote ya kibinafsi. Pindi tu ukimaliza hayo, utaweza kupata huduma zote za kamari zinazotolewa na Kampuni ya Betway.

Nitaipataje programu ya rununu ya Betway?

Ili kuipata apu hii ya Betway, unafaa kuipakua na kisha uisakinishe kwenye simu yako. Kisha, unafaa kufungua akaunti mpya kama huna akaunti au uingie kwenye akaunti yako ukitumia jina lako la utumizi na nywila ya akaunti yako.

Apu ya rununu ya Betway hufanya kazi vipi?

Unaweza ukaifungua apu ya Betway hata kama hujaisajili akaunti yako. Hata hivyo, kuna baadhi ya huduma ambazo huwezi ukapata kama hujasajili akaunti yako. Unahitaji kuweka jina lako la utumiaji na pia nywila ili apu ifungue akaunti yako.

Je, ninaweza vipi kuwekeza dau ya bure almaarufu ‘Free Bet’ katika Betway?

Mara nyingi, wachezaji huhusisha dau za bure na ofa maalum za spoti. Hata hivyo, unaweza ukafanya chaguo lako la dau na uziweke kwenye slipu yako. Baadaye, unaweza ukapata pesa sibayana katika akaunti yako ya michezo.

Kuna manufaa gani kushiriki michezo kupitia kwa tovuti ya rununu ya Betway?

Tovuti ya rununu ya Betway inakupa nafasi ya kuchagua soko tofauti za beti. Mbali na hilo, utaweza kufurahia odi za juu, njia za kuweka na kutoa fedha kwa rununu na mambo mengine mazuri.

Je, ofa yangu ya mwaliko inaweza kuharibika kweli?

Naam, ofa yako ya mwaliko itaharibika siku saba baada ya kuweka pesa kwenye akaunti yako mara ya kwanza.

Ninawezaje kuona pesa nilizoweka na kubihi kwenye akaunti yangu?

Kwa wachezaji wa Ureno, kampuni ya Betway imeandaa njia faafu mno za malipo. Unaweza ukazitazama katika jedwali lililo katika uhakiki huu.

Ninapobihi fedha zangu zitachukua muda kiasi gani ili kufika mikononi mwangu?

Baada ya kutuma ombi la kubihi, Betway itaweka ombi hilo katika mstari ili liangaziwe na timu inayopitisha malipo. Baadaye, timu hii itakutumia malipo kupitia kwa njia uliyoisajili. Muda wa kukamilika kwa zoezi hili unategemea njia ya malipo uliyoichagua.

Naweza katisha zoezi la kubihi linapoanza?

Naam, unaweza kukatisha zoezi la kubihi ghafla, ama sehemu ya pesa ulizonuia kubihi kama malipo yako yapo katika mstari. Lakini kama ombi lako limefika kwenye hatua ya kusubiri, basi hapo ni vyema uwasiliane na Betway kuhusu suala la kukatisha zoezi hili.


Neno la Hitimisho na Makadirio

93%Total
Design & UI94%
Mobile Version95%
Android App97%
IOS App97%
Payment Methods80%
Features95%

Kama umekuwa katika michezo ya kamari kwa muda, apu ya spoti ya Betway ni mojawapo ya apu ambazo unafaa kuwa umejaribu. Hata ingawa haijakuwa kwenye soko kwa muda mrefu, Betway imeonyesha umahiri wake wa kushindana na wabishi wake katika nyanja hii ya michezo, haswa kupitia programu zake za rununu.

Hata ingawa kuna programu za rununu, wakati mwingine kuna mambo yanayozizuia kufanya kazi kulingana na matarajio yetu. Hili linatokana na kukosa upatanifu haswa kwa vifaa vya Android. Lakini kama una simu nzuri iliyo patanifu na apu yako, basi utapata wakati rahisi sana wa kutumia huduma za apu hizi. Kama simu yako si patanifu na programu izi, basi tumia tovuti ya rununu.

Tukiangazia muundo wa programu za rununu, kila kitu kimepangwa kwa utaratibu ili kuepuka msongamano. Jambo hili linaipa apu ya Betway mvutio wa ajabu kwa macho.

Bakshishi na ofa zinazotolewa na Betway zinakupa kila sababu ya kujisajili hapa. Udhaifu mmoja tu wa tovuti ya rununu ya Betway ni kwamba haina njia nyingi za kufanya malipo yako. Hata hivyo, inakupa nafasi ya kutumia benki za kimtandao na mikoba ya kielektroniki.

Bila shaka yoyote ile, programu ya rununu ya Betway ni chaguo moja mufti mno kwa shughuli zako za kucheza kamari. Hata ingawa sehemu nyingine za apu hii zinahitaji marekebsisho ya dharura, Betway inawapa wachezaji kile ambacho wanatangaza. Programu yenyewe ni rahisi kutumia haswa kwa sababu ya idara ya msaada kwa wateja inayofanya kazi kila saa kwa siku. Zaidi ya hayo, apu hii inakupa matukio ya michezo ya kusisimua. Tulipokuwa tunafanya uhakiki huu, tulipendezwa na kampuni ya Betway na ndiposa tunaipa makadirio mazuri.

Jiunge na Tovuti ya Betway ya Rununu

Betway is available on these devices

BrandModels
SamsungS6, S7, S8, S8+, S9, S9+, S10, S10e, S10+, S20, S20+, Tab, Edge, Edge+, Note, Mini, A41, A71, A51, A90, A3, A5, A7, A8, S, pro, Xcover 3
HuaweiP10, P30, P40 Pro, P40 lite, P9, lite, Mate 10 Pro, 20 Pro, plus, Mate S, XS, 30 Pro, Y6, Y6s, Y7, MediaPad T5, M5
HTCNexus Series, One mini, max, A9, A9s, S9, 10, Dual SIM, U11+, U12+, U Ultra, Play, Lifestyle, Desire 19+, 12, 12+
SonyCompact, Premium, Compact, Plus, Xperia M5, 1 II, 5, 10, Z5, ZR, E5, V, L, SP, ZL, XZ, X, XA, XA2, Ultra, XZ2, Tablet Z4, Z3
LGG5, G6, G7, G8, Q6, Q7, Q60, Q Stylus, V30, V40, X Power, mach, K8, K9, K11, K40, K41, K50, K61, Q60, LTE, X cam, screen, Flex 2, V10, Class, 5X, Mini, G Pads 7.0, 8.0, 8.3, 10.1
XIAOMIRedmi 8, Redmi 9, Redmi K30 Pro, Mi 10 Lite, 10 Pro, 9 Pro, MIX Alpha, Note 10, 10 Pro, Note 9S, Note 9 Pro Max, 8A Pro, 8A Dual
OnePlus8 Pro, 8, 7T Pro, 7T, 6T, 5T, 3T
MotorolaMoto e6, One Zoom, One Action, razr, G power, g stylus, edge+, edge, Moto E, moto g fast, one fusion+, one, moto g7 play, moto z4
AppleiPhone 5, 5S, 5C, SE, 6, 6S, 7, 8, 8 Plus, X, XS, XR, 11, iPad, Air, Mini, Pro
Last update by Betenemy :

0 reviews for Programu ya Rununu ya Betway

  No reviews added yet. Be the first!

Maria Kostadinova

Maria Kostadinova

Maria is a writer in betenemy.com and she is the author of numerous articles, news, and reviews you will find on it. Her tasks involve editing and uploading the content that reaches our readers.