JINSI YA KUTOA BONASI KWENYE TOVUTI YA BETWAY KENYA
Wateja wapya wa Kenya sasa wanaweza kufurahia bonasi ya ukaribisho kwenye Betway baada ya kuweka amana yao ya kwanza. Ili kupata ziada hii, fuata hatua zifuatazo:
- Fuata kiunga hiki https://www.betway.co.ke/ kusajili akaunti ya Betway
- Bonyeza kitufe cha “Register” na ujaze habari inayohitajika
- Hakikisha una umri wa miaka 18 na kwamba unakubaliana na masharti ya Betway
- Bonyeza “Register” kukamilisha usajili
- Weka angalau shilingi 49 kwa akaunti yako ya Betway
Mara tu baada ya kuweka amana, akaunti yako ya Betway itajazwa kiotomatiki na ziada ya asilimia hamsini.
BONASI YA UKARIBISHO KWA UBASHIRI WA SPOTI NDANI YA BETWAY KENYA – KWA VIWANGO HADI SHILINGI 5,000

Kama mkakati wa kuleta wanachama wapya kwenye wavuti yake, Betway Kenya inatoa bonasi ya ukaribisho ya asilimia 50 kwa hadi shilingi 5,000 kwa wageni ndani ya tovuti yake. Ofa ya ujisajili inapatikana tu kwa wachezaji ambao wanaunda akaunti ya Betway kwa mara ya kwanza na kufanya amana yao ya kwanza. Mahitaji ya chini ya amana ya kupata ofa ya usajili ni shilingi 49 wakati amana ya kiwango cha juu ni shilingi 5,000. Utoaji wa Zaida hii inahesabiwa kwa msingi wa kiasi cha amana utakachoekeza katika viwango vya asilimia 50. Jumla huekwa kwenye katika akaunti yako kama “free bet”. Ili kutumia ziada ya ukaribishaji, tengeneza akaunti mpya ya Betway kisha weka amana kwa akaunti yako. Wakati wa kuunda akaunti ya Betway, hakikisha unapeana barua pepe sahihi, nambari ya simu, nambari ya kitambulisho cha kitaifa, majina rasmi na Tarehe ya kuzaliwa.
Betway haiitishi msimbo wa bonasi wakati wa kukomboa ofa ya usajili; lakini ikiwa unayo, basi ijaze kwenye uwanja unaofaa wa usajili. Ofa ya kujisajili upo wazi kwa wachezaji wote wapya. Walakini, mtu ataipata tu ikiwa atatimiza sheria na masharti za kushiriki.
Sheria na masharti za ushiriki:
- Lazima uwe mchezaji aliyesajiliwa kwa mara ya kwanza
- Ili kukomboa ofa, mchezaji lazima abashirie jackpot au spoti
- Mchezaji anastahili kubasihria timu zisizopungua tatu na timu zote kwa jumla lazima iwe na odi ya 3.0 au zaidi
- Wacheza watakuwa na siku 30 kutumia toleo la kuwakaribisha. Kukosa kutumia bonasi ya kukaribisha itasababisha kufutwa
- Kiwango cha chini cha amana ni shilingi 50 na kiwango cha juu ni shilingi 5,000. Pia, mshindi atapokea kiwango cha juu zaidi ya shilingi 30,000
KUMBUKA: Utoaji wa ofa ya usajili uko wazi kwa wachezaji wote wapya; hauitaji kuwa na msimbo wa bonasi ili kukomboa ofa.
BONASI YA UKARIBISHO WA KASINO KWA WADAU WA KENYA NDANI YA BETWAY
Betway hutoa aina nyingi ya michezo ya kasino kwa washiriki wake kote ulimwenguni. Mchezaji anaweza kuwekezea michezo ya kasino mtandaoni mwa Betway kwa faraja ya nyumba yake. Wapenda kasino pia wanayo fursa ya kunyakua bonasi za kasino ambazo hutolewa na Betway mara kwa mara. Kwa wachezaji wa kasino nchini Kenya, hakukuwa na mafao ya kukaribisha wakati wa kuandaa ukaguzi huu. Tumezungumza na usaidizi wa Betway juu ya ofa hii na wameahidi kutusasisha mara tu promo itakaporudi.
BONASI KWA WACHEZAJI WALIOMO NDANI YA BETWAY
Betway hutunza wanachama wake kwa kutoa safu ya mafao kwa wachezaji waliopo. Wachezaji wanaweza kufanya na kubuni mikakati tofauti ya ubashiri kwa gharama ya ofa za bure. Kwa kawaida, kampuni ya ubashiri itatoa mafao katika hali mbili; kama kivutio cha wapiga kamari wapya au kudumisha washiriki waliopo. Kampuni itawashikilia wachezaji waliopo kwa kuwapa mafao au bonsai ainati ya shukrani. Betway Kenya inapeana ofa kwa wachezaji wakongwe ili kuzawidi uaminifu wao. Katika hakiki hii, tuongelea mafao ya kupendeza zaidi kwa wanachama waliopo ndani ya Betway Kenya.
BETWAY WIN BOOST
Betway win boost inawapa wachezaji nafasi ya kuongeza ushindi wa ubashiri wao kwa asilimia 100. Mchezaji huweka multi-bet iliyo na angalau chaguzi tano. Kila chaguzi lazima iwe na odi ya 1.2 au zaidi. Kiwango cha bonsai hii kitaongezeka kila wakati mchezaji anaongeza chaguzi zaidi kwenye chaguzi tano iliyopo. Hii inaminisha mchezaji aliye na chaguzi mingi zaidi atakuwa na fursa ya kupata bonasi nono. Betway win boost hulipwa kwa akaunti ya Betway ya mchezaji na itaondolewa kama tuzo lingine lolote lile. Ofa hii hutolewa tu kwa washiriki wanaostahiki kwa kufuata masharti ya ushiriki wa Betway.
- Washiriki walio na akaunti zilizo halali na hai watastahiki toleo hili
- Ofa hii inapewa tu kwenye kamari za michezo ya mapema (pre-gambling)
- Kila chaguzi iliowekwa lazima iwe na odi ya 1.2 au zaidi
- Ofa hii inaweza kutumika kwa beti iliyo na chaguzi nyingi pekee.
- Pesa zote za ushindi zitalipwa kwa akaunti ya Betway
- Masoko ambayo yanaweza kusababisha hisa kurudishwa (Draw no bet) au masoko ambayo husababisha kushinda kwa kiasi; itengwa kwa toleo hili.
- Endapo mchezaji ataomba pesa ya mapema kwenye chaguzi zake; basi mchezaji atanyimwa ofa hii
- Ikiwa uteuzi katika betslip umetojwa au kufutwa, chaguzi zilizobaki zitahesabiwa bora kama itatimiza mahitaji ya ofa
REBOUND BOOST
Kamari ni shughuli hatari na hamu ya kupata malipo makubwa huwa ni bahati. Hakuna anayehakikishiwa ushindi, lakini kwa wale wasiokuwa na bahati, Betway Kenya inapeana zawadi ya kushangaza ya kukusaidia kujikomboa. Mara nyingi, ofa hii ya rebound boost hujulikana kama redeem offer. Rebound boost ni toleo la ukombozi ambalo huwazawidi wacheza Kamari wasio an bahati kwenye ubashiri wao. Rebound boost hupewa kama free bet na kiwango cha juu zaidi kutolewa ni shilingi 30,000. Ofa hii hupewa wanachama wakongwe ndani ya Betway wanaofuata kanuni za ushiriki. Miongoni mwa masharti ya ushiriki ni kama:
- Ofa hii hupewa watumiaji walio na akaunti halali za Betway
- Rebound boost hupewa kama free bet na haiwezi kubadilishwa wala kuhamishwa
- Kiwango cha juu zaidi kwa ofa hii ni shilingi 30,000
- Mchezaji atakuwa na siku 180 za kutumia ofa hii; la sivyo Betway itabatilisha toleo
REFER YOUR FRIENDS
Betway Kenya inazawadi wanachama wanaoleta wachezaji wapya kwenye wavuti yake. Kila wakati unapoelekeza rafiki au mtu wa familia kwa Betway Kenya, utapokea “refer your friend offer “.Kwa kila rufaa unalofanya, unapewa shilingi 50. Ofa ya refer a friend inapatikana kwa wanachama wote waliosajiliwa. Ili kujiandikisha kwa toleo, fuata hatua hizi:
- Weka amana ya angalau shilingi 49 kwa akaunti yako ya Betway
- Tembelea kiunga hiki https://www.betway.co.ke/LatestPromos ili kufungua ukurasa wa rufaa. Bonyeza “refer a friend”
- Kwenye ukurasa mpya, ingiza nambari ya yule unayetaka kumwingiza kwa Betway
- Nambari ya msimbo itatumwa kwa Rafiki
- Muombe atumie nambari iliyotumwa kusajili akaunti yake ya Betway Kenya
Mara tu rufaa atakapokamilisha mchakato wa kusaini na kuweka shilingi 50 kwa akaunti yake ya Betway, utapokea bonasi ya shilingi 50 mara moja.
- Ofa inapatikana kwa watumiaji walio na akaunti halali za Betway
- Mango wa refer a friend uko wazi kwa wachezaji wa Kenya
- Bonasi itatolewa kwa watumiaji ambao ni miaka 18 na zaidi
KUMBUKA: Mafao yote ya Betway yanapeanwa kulingana an sheria na masharti ya ushiriki
KWA NINI UNASTAHILI KUCHUKUA OFA ZA BETWAY KENYA
Matoleo na mafao hupewa wachezaji kama njia ya kuwaingiza kwenye ulimwengu wa ubashiri. Betway Kenya ina ofa kadhaa ambazo zinapatikana kwa wachezaji wapya na wa zamani. Bonasi nyingi hupewa kama bets za bure au “free bets”. Kama mcheza kamari, kuna sababu nyingi kwanini unapaswa kuchukua mafao haya ya bure. Kumbuka kwamba ofa nyingi ni za bure na zile ambazo zinahitaji pesa zitaitisha kiasi kidogo cha amana ili kuzifungua. Zifuatazo ni sababu ambazo unapaswa kuchukua malipo ya bure: Kwanza, bet ya bure ni njia nzuri ya kujaribu mkakati mpya wa ubashiri bila hofu ya kupoteza pesa zako. Pili, matoleo ya Betway yanaweza kuwa njia bora ya kufanya mazoezi ya ubashiri ya michezo hatari. Unaweza kufanya utabiri juu ya michezo tatanishi na kufukuza hofu ya kupoteza pesa zako. Mwishowe, unapaswa kwenda kwa ofa hii kwa sababu baadhi ya ofa hizi zina malipo makubwa wakati unashinda. Mafao ya Betway yamehakikishwa na kwa hivyo hakuna wasiwasi kama utashinda.
JE! KUNA PROMO YOYOTE ISIYOHIJTAJI AMANA NDANI YA BETWAY?
Wakati wa kuandaa ukaguzi huu, hakukuwa na promo ya bila amana kwenye tovuti ya Betway. Matoleo yote tuliona yanahitaji mchezaji kuwa na salio chanya kwenye akaunti yake. Ikiwa utatembelea ukurasa wa promo wa Betway, kuna matoleo mengi yanapatikana. Tumetuma ujumbe kwa msaada wa Betway kuhusu promo hii na wameahidi kutusasisha mara tu zitapatikana.
OFA YA KARATA
Hivi sasa, hakuna toleo la karata linalopatikana kwenye Betway Kenya. Sababu ya kukosekana ni kwamba Betway inaendesha matoleo mengi ambayo yanalenga mashabiki wa spoti. Ikiwa toleo la karata litarudi, hatukakuwa na budi kujuza.
BONASI KWA WATUMIZI WA PROGRAMU YA SIMU
Betway imekwenda mbele katika kuleta mabadiliko kwenye tasnia ya ubashiri. Tovuti hii imewapa watumiaji mazingira bora ya kucheza kamari pamoja na kuorodhesha shughuli zake kidigitali. Jambo moja la kushangaza ambalo ninapenda na Betway Kenya, ni kwamba ina programu ya simu ya rununu inayofanya kazi kwa android na iOS. Programu hii ni laini kupekua na haitumii vifurushi vikubwa vya data. Ili kupakua program hii, tembelea tovuti halisi ya Betway. Kwa watumiaji wa iOS tembelea duka la apple.
Mara nyingi, Betway hulipa washiriki ambao wanapakua programu kutoka kwa wavuti wake na mafao ya rununu. Walakini, ni bahati mbaya kwamba toleo hili halikuwepo wakati wa kuandika ukaguzi huu. Tutakusasisha wakati toleo hili limewekwa.
Hata hivyo, usikate tama kwani wachezaji wapya wanaweza kunyakua toleo la asilimia 50 ya kujisajili wakati washiriki wa zamani wakipata fursa ya kujiongezea mapato yao na “rebound bonus”, “refer a friend” na “Betway win boost”.
NJIA ZA MALIPO KWA BETWAY KENYA
Kuweka pesa kwenye Betway Kenya, kuna chaguzi mbili: kupitia M-PESA na kupitia AIRTEL MONEY. Betway Kenya inakubali na hufanya malipo kwa fedha za asili; hiyo ni shilingi ya Kenya. Ili kueka amana kwenye Betway bonyeza kichupo cha “my account” na kisha bonyeza “deposit funds”. Chagua njia unayopendelea na fuata maagizo ya kuweka. Watumiaji wa AIRTEL MONEY na MPESA wanaweza kutumia nambari ya malipo “paybill” ya “888015” kuweka amana. Kiwango cha chini cha kuweka Betway Kenya ni shilingi 10 wakati kiwango cha juu ni shilingi 70,000. Kwa watumiaji wa AIRTEL MONEY, kuweka kwa akaunti ya Betway ni bure. Kwa maelezo zaidi juu ya malipo ya Betway Kenya, angalia meza hii:
Payment Method | Deposit Minimum | Deposit Maximum | Time for Deposit | Minimum Withdrawal | Withdrawal Maximum | Time for Withdrawal |
---|---|---|---|---|---|---|
![]() | KSH 10 | KSH 70 000 | Immediate | KSH 80 | KSH 70 00/per day | up to 24 hours |
![]() | KSH 10 | KSH 70 000 | Immediate | KSH 80 | KSH 70 00/per day | up to 24 hours |
MASWALI NA MAJIBU
Kuna nambari maalum ya ziada ya Betway kwa wachezaji kutoka Kenya?
Hakuna msimbo maalum wa ziada kwa wachezaji wa Kenya. Mafao ya Betway hayahitaji msimbo ili kufungua.
Jinsi ya kukomboa toleo la kujisajili la Betway?
Weka amana ya shilingi 50 kwa akaunti yako ya Betway. Fanya uteuzi wa bet nyingi na ubonyeze “USE MY FREE BET” wakati wa kudhibitisha bet yako.
Wanachama waliopo pia wanapata mafao kwenye Betway?
Ndio, washiriki waliopo wanapata ofa kama “refer a friend”, “rebound bonus” na “Betway win boost”.
Ni lazima niweke amana kwa Betway Kenya ili kupata mafao?
Kama ilivyo kwa sasa, ndio! Mafao yote yanayopatikana katika Betway Kenya yanahitaji uwe na salio chanya.
Naeza pata promo ya bila amana ndani Betway Kenya?
Hapana, hakuna promo ya bila amana katika Betway Kenya.
Betway hutoa mafao kwa watumiaji wa programu ya simu ya rununu?
La! Hakuna mafao kwa watumiaji wa programu ya rununu.
Kuna ofa yoyote ya kasino kwenye Betway Kenya?
Hapana. Hivi sasa, hakuna promo ya kasino kwa wachezaji wa Kenya.
Ninastahiki kupata Bonasi ya ukaribisho wa Betway Kenya?
Mtu yeyote anastahiki kupata ziada ya ukaribisho. Unachohitaji kufanya ni kusajili akaunti mpya ya Betway na kuweka kiwango cha chini cha shilingi 50.
TAARIFA ZA KAMPUNI
Betway ni mojawapo ya chapa zinazoongoza kwenye ubashiri wa mtandaoni barani Afrika. Betway ilianzishwa mnamo 2006 na kikundi cha wawekezaji kutoka United kingdom. Kitabu hiki ni mdhamini mkuu wa timu ya soka ya West Ham. Kampuni hii imekuwa mstari wa mbele katika kuleta uzoefu bora wa ubashiri kwa wanachama wake. Betway Kenya ni tawi la Betway. Betway Kenya ilianzisha shughuli zake Kenya kwa mara ya kwanza mnamo 2015. Kampuni hii imepewa leseni na inadhibitiwa na Bodi ya Kudhibiti leseni za michezo ya Kamari nchini Kenya – BCLB. Hii ina maana wanachama wanahakikishiwa malipo yao.
NJIA ZA MAWASILIANO NA MSAADA WA BETWAY
Ili kufikia dawati la msaada wa wateja wa Betway Kenya, tumia njia zifuatazo:
- Ongea moja kwa moja: Ndio
- Twitter: @Betway_KE
- Barua pepe: support@Betway.co.ke
- WhatsApp: +254777142400
- Nambari ya bure ya AIRTEL: 0800730300
- Kiwango cha kawaida cha simu: +254205142400
UAMUZI WA MWISHO NA TATHMIN
Betway sio tovuti mpya ya michezo nchini, kimekuwepo na ni kampuni ya ulimwengu ya ubashiri. Mafao yanayopatikana na odi ya ubashiri hufanya kampuni hii kuwa chaguo la kwenda kwa kila aina ya wacheza kamari. Baada ya kukagua alamisho hili na kuangalia matoleo tofauti yanayopatikana, nilipata Betway Kenya chaguo bora kwa wachezaji wote; wapya na wa zamani.
No reviews added yet. Be the first!