22Bet Karibu Bonasi - 100% up to 15 000 KES ****** Reveal Bonus Code
Bonus 15 000 KES
Percentage 100%
Turnover 5x
Min. Odd 1.40
Min. Deposit €1
18+ T&C apply | bclb.go.ke | Play Responsibly
Aina ya Toleo Habari Msimbo wa Bonasi
22Bet Msimbo wa Bonasi22_1539 Msimbo wa kufunua
22Bet Kenya Ofa ya ukaribisho100% hadi Shilingi 15000 Msimbo wa kufunua
Friday Reload Bonasi Bonasi ya amana yako inayofuata Msimbo wa kufunua

Jinsi ya kutumia ofa ya ukaribisho ndani ya 22Bet Kenya

22Bet inatoa zawadi ya kuwakaribisha wachezaji wote wapya wa Kenya kwenye amana zao za kwanza. Pata bonasi kupitia hatua zifuatazo:

22bet kanuni za ziada za Kenya ingiza
 1. Fuata kiungo hiki ili kufungua tovuti rasmi ya 22Bet Kenya
 2. Bonyeza kitufe cha “register“.
 3. Jaza habari zote zinazohitajika katika uwanja tupu.
 4. Kamilisha mchakato wa usajili kwa kudhibitisha kuwa una umri wa miaka 18 na kwamba unakubaliana na sheria na masharti ya mtendaji kwa kubonyeza kitufe cha “Register“.
 5. Weka amana ya angalau € 1 / $ 1 kupata bonsai ya 100%.
 6. Bonasi itaekwa kwa akaunti yako mara moja baada ya kueka amana ya kwanza.

Pata Toleo Hili


Ofa ya ukaribisho wa asilimia mia moja kwa wachezaji wapya wa kenya

Bonasi za michezo 22bet Karibu Kenya

22Bet ni kampuni mpya ya ubashiri nchini Kenya, lakini licha ya hii, kampuni hii imeweza kuwapa wawekazaji ofa za ajabu. Miongoni mwa hizi ofa ni bonasi ya ukaribisho kwa wachezaji wapya. 22Bet inaendesha ofa hii kama njia mojawapo ya kunata wachezaji wapya kuingia kwenye ulimwengu wa ubashiri ndani ya tovuti yake. Ofa hii ya ukaribisho wa asilimia mia moja kwa hadi shilingi 15000 pamoja na alama 22 ni wazi kwa wachezaji wote wapya. Pindi tu unamaliza usajili wa akaunti yako ya 22Bet Kenya , weka amana ya angalau euro moja au dola moja au Shilingi sawa za Kenya. Bonasi ya ukaribisho itaekwa kwenye akaunti yako ya 22Bet mara moja. Kuna sheria na masharti ya kushiriki ambayo kila mchezaji mpya lazima atimize ndiposa ahitimu kupewa ofa hii.

Sheria na Masharti ya kushiriki:

 • Ofa ya ukaribisho inapatikana kwa kila mwanachama anayejisajili kwa mara ya kwanza na akauti yake kudhibitishwa an 22Bet.
 • Bonasi hii inapeanwa mara tu mteja atakapoweka amana ya kwanza cha kiwango cha chini cha $1 au Shilingi sawa za Kenya.
 • Kiwango cha juu zaidi cha bonasi anaweza kupewa mteja ni shilingi 15,000 ( ubashiri wa michezo).
 • Mteja akiamua kusahisha kijisanduku cha “Sitaki mafao yoyote” basi atanyimwa ofa ya ukaribisho
 • Ili mteja aweze kukomboa bonsai ya ukaribisho, lazima aweke ubashiri wa chaguzi tatu na chaguzi zote lazima ziwe na odds za1.40 au zaidi.
 • Bonasi lazima itumiwe ndani ya siku 7 la sivyo utapoteza.
 • DOKEZO: Utoaji wa ofa ya ukaribisho unapewa kwa wachezaji wote wapya; Unaweza kutumia nambari ya ziada ya 22bet 22_1539.

Dai Bonasi Hii


Ofa ya ukaribishko wa 22Bet kwa wadau wa Kasino nchini Kenya

Wachezaji wapya wa kasino kwenye 22Bet wanayo fursa ya kupata bonasi ya ukaribisho ya asilimia mia moja hadi Shiling 35,000 kwa amana yao ya kwanza. Bonasi ukaribisho ya kasino ni sawa na bonasi ya ukairibisho ya michezo iliyojadiliwa hapo juu ila kiwango cha bonsai ya kasino ni kubwa kuliko ya bonasi ya michezo. Mara tu mchezaji ataweka amana yake ya kwanza ya shilingi mia moja kweneye akaunti ya 22Bet, atapewa bonasi hii. Unapaswa kumbuka kuwa toleo hili litapewa tu endapo utafuata sheria za ushiriki. Miongoni mwa kanuni hizi ni:

Sheria na Masharti ya kushiriki:

 • Kiwango cha uwekezaji kwenye ubashiri wa kasino haipaswi kuzidi $ 5 au Euro tano au Shilingi sawa za Kenya
 • Kiwango cha juu zaidi cha bonasi mchezaji anaweza pewa Shilingi 35,000
 • Kila mchezo ina mchango tofauti kwa mahitaji ya ubashiri.
  Michezo ya Jedwali (Baccarat, Black Jack) – 5%
  Video Poker – 5% < ukiondoa michezo ya wazuaji hai >
  Roulette, Poker – 5%
  Slots – 100%
 • Michezo yote iliyo an wauzaji hai hutengwa kwa bonsai hii. Pia kuna michezo iliyozuiliwa.

Ili kutumia ofa ya ukaribisho ya kasino, sajili akaunti yako ya 22Bet na uweke angalau euro moja au dola moja au shilingi sawa za Kenya kwa akaunti yako. Bonasi itaekwa mara moja kwenye akaunti yako.

DOKEZO: Kumbuka kwamba sehemu ya Kasino haipatikani kwenye wavuti wa 22Bet Kenya. Bonasi ya kasino inatayarishwa lakini wateja hawaruhusiwi kuidai bado. Lakini hii itawezekana mara tu michezo ya kasino itajumuishwa katika mtaandao wa 22Bet.


OFA KWA WACHEZAJI WALIOKOLEA NDANI YA 22BET

22Bet Kenya inafahamu kuwa katika biashara yoyote mteja ni Mfalme na kwa hivyo wameweza kuvutia wanachama wapya pamoja na kuhifadhi mwachezaji wa zamani kupitia kwa mafao kibao. 22Bet inatoa mafao anuwai kwa ajili ya kupongeza wateja waliopo. Katika hakiki hii, tutaangazia ofa zizopewa wateja waliopo.

Friday Reload Sportsbook Bonus

Friday reloaded sportsbook bonus ni zawadi ya asilimia mia moja kwa wachezaji wa 22Bet kwenye amana zao za kila Ijumaa. Endapo wewe ni mwanachama hai ndani 22Bet na unabashiri kila siku, basi utakuwa radhi kupokea mafao ya shilingi 12,000 kila Ijumaa mara tu utakapoweka amana ya angalau $ 1 au shilingi sawa za Kenya. Bonasi ya ijumaa itapewa kwa wachezaji ambao wanafuata kanuni za ushirika.

Sheria na masharti ya ushiriki
 • Bonasi hii inapatikana tu kwenye amana za Ijumaa.
 • Mteja akiamua kusahisha kijisanduku cha “Sitaki mafao yoyote” basi atanyimwa ofa ya Friday reloaded
 • Bonasi ya Ijumaa itaweza tu kutumika kwenye ubashiri wa michezo. Kasino haikubaliwi.
 • Mteja lazima achague angalau chaguzi tatu na kila chaguzi inastahili kuwa na kisia ya 1.40 au zaidi
 • Ikiwa utatoa pesa kutoka kwa akaunti yako ya 22Bet kabla ya bonasi ya ijumaa kutumiwa, basi hautapokea ofa hiyo tena had ijumaa ijayo.
 • Ofa ya ijumaa lazima itumiwe ndani ya masaa 24 baada ya kuipokea; la sivyo, malipo ya bonasi hiyo yatafutwa
 • Ofa hiyo itapewa wateja hai ambao wanatumia 22Bet kila wakati
 • Utastahiki ofa ikiwa una akaunti moja ya watumiaji

KWA NINI UNASTAHILI KUCHUKUA OFA ZA 22BET

22Bet hupeana ofa kwa sababu mbili kuu. Kwanza, ni kuvutia wachezaji wapya na pili, kuhifadhi wachezaji waliomo. Ofa hizi ni kama zawadi za ukaribisho, msaada wa uaminifu, ubashiri wa bure au pesa taslimu. Licha ya ofa hizi kuwa zawadi kubwa kwa wachezaji, bonsai huwa nadra kupatikana. Endapo machezaji atachukua mafao hayo, basi atakuwa na fursa nzuri ya kushinda donge nono. Kwa wacheza kamari wapya, ziada ya ukaribisho itakupa msukumo mkubwa kwenye ubashiri wako wa kwanza. Bonasi ya Ijumaa huruhusu wanakamari kujaribu mikakati mapya ya ubashiri. Mafao ya bure ama free bet ni njia nzuri ya kubashiria michezo hatari. Endapo utapoteza basi hautajuta. Kwa hivyo ni vema ujaribu matoleo haya ya bure kwenye 22Bet. Kumbuka ofa hizi ni bure kabisa na umehakikishiwa malipo yako baada ya ushindi.


JE! KUNA PROMO YA BILA AMANA KWA 22BET?

Ndio, 22Bet hutoa promo ya bila amana; lakini toleo hili halikuwa wakati wa kuandaa hakiki hii. Tuliwasiliana na msaada wa 22Bet na waliahidi kutusasisha mara tu toleo hill litakaporudishwa. Endapo tutaona ofa hii, basi tutakusasiha pia nawe. Unaweza kutembelea na kukagua matangazo na mafao hivi punde ndani ya 22Bet kupitia kiungo hiki.


OFA YA MCHEZO WA KARATA

22Bet inapeana ofa ya ukaribisho wa kasino kwa wacheza kamari wa Kenya. Ndani ya ofa hii kunayo bonasi ya mchezo wa karata au video Poker. Wakati mchezaji mpya anaweka dola moja au shilingi sawa za Kenya kwenye akaunti yake ya 22Bet kwa mara ya kwanza, atapewa bonasi ya ukaribisho wa hadi shilingi 35,000. Pesa hii itatumika tu kwenye ubashiri wa mchezo wa kasino. Miongoni mwa michezo ya kasino ambayo mtu anaweza kubana na ofa hii ni Video Poker ambayo ina mchango wa asilimia tano kwa mahitaji ya ubashiri. Sheria na Masharti ya kushiriki ni sawa na toleo la mkaribishaji wa kasino ila tu kwamba ofa ya video poker haitolewi kwa michezo iliyo na wauzaji hai.


TOLEO LA BONASI YA RUNUNU

22Bet ina idadi ya mafao yaliyo orodheshwa kwenye ukurasa wake wa promo. Miongoni mwa promo hizi ni toleo la bonasi ya rununu, japo halikuwepo wakati wa kundakika haikiki hii; lakini tunatarajia toleo litatolewa hivi karibuni. Wateja bado wanaweza kunyakua zawadi zingine zinazopatikana na kuanza safari yao ya ubashiri kwa njia murwa kabisa. Kwa wateja wapya, nyakua ofa ya ukaribisho wa asilimia mia moja kwa hadi shilingi 15,000 na Pointi 22 za ubasihiri kwenye amana yao ya kwanza. Wachezaji waliomo wanaweza kuongeza mafanikio yao ya mwishoni mwa wiki kwa kutumia bonasi ya amana ya asilimia mia moja kwenye amana zao za Ijumaa. Wapenzi wa kasino pia hawajaachwa nyuma. Wachezaji wapya wa kasino wanapata ziada ya asilimia mia moja kwa hadi shilingi 35,000 kwa amana yao ya kwanza. Jiandikishe leo na unyakue safu hii ya matoleo iliyoundwa kwa ajili yako.


NJIA ZA MALIPO KWA 22BET KENYA

Kuna njia nyingi ambazo unaweza kuweka pesa kwenye akaunti yako ya 22Bet. Njia za kawaida kwa Wakenya ni matumizi ya uhamishaji pesa wa rununu. Wanachama wanaweza kutumia MPESA kuweka pesa kwenye akaunti ya 22Bet kwa fedha za Kenya na bado wanapokea pesa hizo kwa sarafu ya Kenya. Kuweka au kuondoa pesa hufanywa mara moja. Kwa njia zaidi za malipo angalia meza hii:

Payment MethodDeposit MinimumDeposit MaximumTime for Deposit
Visa LogoVisa€1-Mara moja
MasterCard LogoMasterCard€1-Mara moja
Skrill LogoSkrill€1-Mara moja
Skrill 1-Tap LogoSkrill 1-Tap€1-Mara moja
WebMoney LogoWebMoney€1-Mara moja
Perfect Money LogoPerfect Money€1-Mara moja
Sticpay LogoSticpay€1-Mara moja
ePay LogoePay€1-Mara moja
Neteller LogoNeteller€1-Mara moja
EcoPayz LogoEcoPayz€1-Mara moja
Payeer LogoPayeer€1-Mara moja
Neosurf LogoNeosurf€1-Mara moja
Bitcoin LogoBitcoin€1-Mara moja
Litecoin LogoLitecoin€1-Mara moja
Dogecoin LogoDogecoin€1-Mara moja
Cryptocurrencies LogoCryptocurrencies€1-Mara moja
Flexepin LogoFlexepin€10-Mara moja
Payment MethodWithdrawal MinimumWithdrawal MaximumTime for Withdrawal
Visa LogoVisa€1.50-hadi siku 7
MasterCard LogoMasterCard€1.50-hadi siku 7
Skrill LogoSkrill€1.50-dakika 15
Skrill 1-Tap LogoSkrill 1-Tap
WebMoney LogoWebMoney€1.50-dakika 15
Perfect Money LogoPerfect Money€1.50-dakika 15
Sticpay LogoSticpay€1.50-dakika 15
ePay LogoePay
Neteller LogoNeteller€1.50-dakika 15
EcoPayz LogoEcoPayz€1.50-dakika 15
Payeer LogoPayeer€1.50-dakika 15
Neosurf LogoNeosurf
Bitcoin LogoBitcoin€1.50-dakika 15
Litecoin LogoLitecoin€1.50-dakika 15
Dogecoin LogoDogecoin€1.50-dakika 15
Cryptocurrencies LogoCryptocurrencies€1.50-dakika 15
Flexepin LogoFlexepin
Visa, MasterCard, WebMoney, Skrill, Skrill 1-Tap, Perfect Money, ePay, Sticpay, Neteller, EcoPayz, Payeer, Neosurf, Bitcoin, Litecoin, Dogecoin, Cryptocurrencies, Flexepin
Visa, MasterCard, WebMoney, Skrill, Perfect Money, Sticpay, Neteller, EcoPayz, Payeer, Bitcoin, Litecoin, Dogecoin, Cryptocurrencies

* KUMBUKA: Gharama za uwekaji unatozwa mtoaji wa pesa za rununu. Thibitisha malipo ya kawaida na mtoaji wako kabla ya kuweka kwa 22Bet


MASWALI YANAYOULIZWA MARA KWA MARA (maswali & majibu)

Je! Kuna nambari maalum ya bonasi 22Bet kwa wachezaji kutoka Kenya?

Ndio lipo. 22Bet ina mafao mengi kwa wanachama wapya na waliopo. Hauitaji nambari maalum ili kuamilisha matoleo; lakini ikiwa una nambari ya mafao ya 22Bet unaweza kuitumia.

je! naeza kukomboa aje zawadi ya kujisajili ya 22Bet?

Ili kutumia ofa ya usajili, ingiza nambari ya bonasi iliyotumwa baada ya kuweka amana ya kwanza. Bashiria amana hii ili kukomboa ofa ya ukaribisho.

Je! Ninastahiki toleo la usajili wa 22Bet?

Ndio, mtu yeyote anaweza kupata ziada ya ukaribisho. Bora awe anasajili kwa 22Bet kwa mara ya kwanza na unafuata sheria na masharti ya kushiriki.

Je! ninatumiaje bonasi yangu ya ukaribisho wa kasino?

Mara tu baada ya kuweka amana yako ya kwanza, fungua kichupo cha kasino na ziada itaonyeshwa kama deni katika akaunti yako ya mchezaji.

Je! Ninahitaji amana kupata bonasi ya kukaribisha?

Unahitaji kuweka angalau dola moja au Shilingi sawa za Kenya ili kufungua ziada ya ukaribisho.

Je! Kuna mafao maalum kwa watumiaji wa programu ya simu ya rununu?

Hapana, hakuna mafao maalum kwa watumiaji wa programu ya simu ya rununu.

Je! Hakuna promo ya bila amana kwa 22Bet?

Hivi sasa, hakuna promo ya bila Amana kwa 22Bet.


MAELEZO YA KAMPUNI

22Bet ni kampuni ya ubashiri ya kimataifa ambayo imeingia kwenye soko la ubashiri nchini Kenya kwa dhoruba. Wachezaji wengi wameorodhesha 22Bet kama wavuti wa juu wa kuwekeza michezo nchini Kenya. 22Bet inadhibitiwa na bodi ya kudhibiti leseni ya Kenya (BCLB), kwa hivyo unahakikishiwa malipo yako. Licha ya 22Bet kuwa kipya nchini Kenya, kampuni hii imeweza kuwapiku washindani wake. Wanatoa mafao ya hali ya juu, Kisia nzuri, aina nyingi za masoko na malipo bora.

22Bet inamilikiwa na Marikitt holdings limited, kampuni iliyosajiliwa nchini Cyprus. Pia ina leseni inayodhibitiwa na serikali ya Curacao. Ingawa 22Bet ni maarufu katika maeneo yanayozungumza Kirusi, imeweza kupanua wigo wake wa kufanya kazi hadi Ulaya na Afrika.


NJIA ZA MAWASILIANO NA 22BET KENYA

Kuna chaneli kadhaa ambazo unaweza kutumia kufikia wahudumu wa 22Bet chini Kenya. Njia hizi ni pamoja na:


UAMUZI WA MWISHO NA TATHMIN

90%Total
Sports Sign-Up Bonus93%
Casino Welcome Package93%
Existing Players Promotions85%
Bonus Terms & Conditions90%

Baada ya uchambuzi wa karibu wa wavuti, nilipata 22Bet ni tovuti bora ya kuwekeza michezo; hakika mpenzi wangu. Kijitabu hiki hutoa bonasi nzuri ya kuwakaribisha wanachama wapya na pia huwapa wanachama waliopo na mafao ya kila Ijumaa.

Bonus info

Amount
In Percent
Min. Deposit
Turnover
Min. Odd
15 000 KES
100%
€1
5x
1.40
Pata mafao haya
18+ T&C apply | bclb.go.ke | Play Responsibly

0 reviews for Mapitio ya Kanuni ya Promo ya 22Bet Kenya

  No reviews added yet. Be the first!

Expert
Елица Мартинова

Елица Мартинова

Elitsa is part of the team behind Betenemy. Her responsibilities include the writing of bookmakers' reviews and the latest news. She also takes care of publishing and updating the content on the website.